Exodus 15:14-16


14 aMataifa watasikia na kutetemeka,
uchungu utawakamata watu wa Ufilisti.

15 bWakuu wa Edomu wataogopa,
viongozi wa Moabu watatetemeka kwa hofu,
watu wa Kanaani watayeyuka,

16 cvitisho na hofu vitawaangukia.
Kwa nguvu ya mkono wako
watatulia kama jiwe,
mpaka watu wako waishe kupita, Ee Bwana,
mpaka watu uliowanunua wapite.
Copyright information for SwhKC